Puberty and problems
Ukiwa kwa stage ya puberty unaweza kuface shida nyingi sana,kwa mfano;unaweza kuwa shy na kutojipenda,kuwaa na aibu juu ya mwili wako,kuwa na moods mbaya,na watu wengine wanaweza kukuana sasa wewe ni mtu mkubwa na sasa unaweza kufanya mapenzi. Translation If [...]